Isaya 33:2
Isaiah 33:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, uturehemu, tunakutamani. Uwe nguvu yetu kila asubuhi na wokovu wetu wakati wa taabu.
Isaiah 33:2 in English
Isaiah 33:2 · Berean Standard Bible
O LORD, be gracious to us! We wait for You. Be our strength every morning and our salvation in time of trouble.
Context
1Ole wako wewe, ee mharabu,
wewe ambaye hukuharibiwa!
Ole wako, ee msaliti,
wewe ambaye hukusalitiwa!
Utakapokwisha kuharibu,
utaharibiwa;
utakapokwisha kusaliti,
utasalitiwa. 2Ee Bwana, uturehemu,
tunakutamani.
Uwe nguvu yetu kila asubuhi
na wokovu wetu wakati wa taabu. 3Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia;
unapoinuka, mataifa hutawanyika. 4Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama vile wafanyavyo madumadu,
kama kundi la nzige watu huvamia juu yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.