Native Bible

Isaiah 32:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu na watawala watatawala kwa haki.

Isaiah 32:1 in English

Isaiah 32:1 · Berean Standard Bible

Behold, a king will reign in righteousness, and princes will rule with justice.

Context

1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu na watawala watatawala kwa haki. 2Kila mtu atakuwa kama kivuli cha kujificha kutokana na upepo na kimbilio kutokana na dhoruba, kama vijito vya maji jangwani na kivuli cha mwamba mkubwa katika ardhi yenye kiu. 3Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.