Native Bible

Isaiah 28:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana ni: Amri juu ya amri, amri juu ya amri, kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni; hapa kidogo, kule kidogo.”

Isaiah 28:10 in English

Isaiah 28:10 · Berean Standard Bible

For they hear:* “Order on order, order on order, line on line, line on line;* a little here, a little there.”

Context

8Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. 9“Yeye anajaribu kumfundisha nani? Yeye anamwelezea nani ujumbe wake? Je, ni kwa watoto walioachishwa kunyonya? Je, ni wale ambao ndipo tu wametolewa matitini? 10Kwa maana ni: Amri juu ya amri, amri juu ya amri, kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni; hapa kidogo, kule kidogo.” 11Sawa kabisa, kwa midomo migeni na kwa lugha ngeni, Mungu atasema na watu hawa, 12wale ambao aliwaambia, “Hapa ni mahali pa kupumzika, waliochoka na wapumzike,” na, “Hapa ni mahali pa mapumziko,” lakini hawakutaka kusikiliza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.