Isaya 16:13
Isaiah 16:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hili ndilo neno ambalo Bwana ameshasema kuhusu Moabu.
Isaiah 16:13 in English
Isaiah 16:13 · Berean Standard Bible
This is the message that the LORD spoke earlier concerning Moab.
Context
11Moyo wangu unaomboleza kwa ajili ya Moabu kama kinubi,
nafsi yangu yote kwa ajili ya Kir-Haresethi. 12Wakati Moabu anapojitokeza mahali pake pa juu,
anajichosha mwenyewe tu;
anapokwenda mahali pake pa kuabudia miungu ili kuomba,
haitamfaidi lolote. 13Hili ndilo neno ambalo Bwana ameshasema kuhusu Moabu. 14Lakini sasa Bwana anasema: “Katika miaka mitatu, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, fahari ya Moabu na watu wake wengi watadharauliwa, nao walionusurika watakuwa wachache sana, tena wanyonge.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.