Native Bible

Isaiah 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona:

Isaiah 13:1 in English

Isaiah 13:1 · Berean Standard Bible

This is the burden against Babylon that Isaiah son of Amoz received:

Context

1Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 2Twekeni bendera juu ya mlima usio na kitu, wapazieni sauti, wapungieni mkono waingie katika malango ya wenye heshima. 3Nimewaamuru watakatifu wangu; nimewaita mashujaa wangu waitimize hasira yangu: wale wanaoshangilia ushindi wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.