Native Bible

Isaiah 10:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mabaki watarudi,* mabaki wa Yakobo watamrudia Mungu Mwenye Nguvu.

Isaiah 10:21 in English

Isaiah 10:21 · Berean Standard Bible

A remnant will return *—a remnant of Jacob— to the Mighty God.

Context

19Nayo miti inayobaki katika misitu yake itakuwa michache sana hata mtoto mdogo angeweza kuihesabu. 20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, walionusurika wa nyumba ya Yakobo, hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, lakini watamtegemea kwa kweli Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 21Mabaki watarudi,* mabaki wa Yakobo watamrudia Mungu Mwenye Nguvu. 22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki yao tu watakaorudi. Maangamizi yamekwisha amriwa, ni mengi tena ni haki. 23Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, atatekeleza maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.