Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wamevunja Agano kama Adamu: huko hawakuwa waaminifu kwangu.

Hosea 6:7 in English

Hosea 6:7 · Berean Standard Bible

But they, like Adam, have transgressed * the covenant; there they were unfaithful to Me.

Context

5Kwa hiyo ninawakata ninyi vipande vipande kwa kutumia manabii wangu; nimewaua ninyi kwa maneno ya kinywa changu, hukumu zangu zinawaka kama umeme juu yenu. 6Kwa maana nataka rehema, wala si dhabihu, kumkubali Mungu zaidi kuliko sadaka za kuteketezwa. 7Wamevunja Agano kama Adamu: huko hawakuwa waaminifu kwangu. 8Gileadi ni mji wenye watu waovu, umetiwa madoa kwa nyayo za damu. 9Kama wanyangʼanyi wamviziavyo mtu, ndivyo magenge ya makuhani wafanyavyo; wanaulia watu kwenye njia iendayo Shekemu, wakifanya uhalifu wa aibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.