Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waasi wamezidisha sana mauaji. Mimi nitawatiisha wote.

Hosea 5:2 in English

Hosea 5:2 · Berean Standard Bible

The rebels are deep in slaughter; but I will chastise them all.

Context

1“Sikieni hili, enyi makuhani! Kuweni wasikivu, enyi Waisraeli! Sikieni, ee nyumba ya mfalme! Hukumu hii ni dhidi yenu: Mmekuwa mtego huko Mispa, wavu uliotandwa juu ya Tabori. 2Waasi wamezidisha sana mauaji. Mimi nitawatiisha wote. 3Ninajua yote kuhusu Efraimu, Israeli hukufichika kwangu. Efraimu, sasa umegeukia ukahaba, Israeli amenajisika. 4“Matendo yao hayawaachii kurudi kwa Mungu wao. Roho ya ukahaba imo ndani ya mioyo yao, hawamkubali Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.