Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano* za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu* ya shayiri.

Hosea 3:2 in English

Hosea 3:2 · Berean Standard Bible

So I bought her for fifteen shekels of silver * and a homer and a lethech of barley.*

Context

1Bwana akaniambia, “Nenda, ukaonyeshe upendo wako kwa mke wako tena, ingawa amependwa na mwingine naye ni mzinzi. Mpende kama Bwana apendavyo Waisraeli, ingawa wanageukia miungu mingine na kupenda mikate mitamu ya zabibu kavu iliyowekwa wakfu.” 2Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano* za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu* ya shayiri. 3Kisha nilimwambia, “Utaishi nami kwa siku nyingi, hupaswi kuwa kahaba au kuwa na uhusiano wa karibu na mtu yeyote, nami nitaishi na wewe.” 4Kwa maana Waisraeli wataishi siku nyingi bila kuwa na mfalme wala mkuu, bila kuwa na dhabihu wala mawe matakatifu, bila kisibau wala sanamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.