Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana Waisraeli wataishi siku nyingi bila kuwa na mfalme wala mkuu, bila kuwa na dhabihu wala mawe matakatifu, bila kisibau wala sanamu.

Hosea 3:4 in English

Hosea 3:4 · Berean Standard Bible

For the Israelites must live many days without king or prince, without sacrifice or sacred pillar, and without ephod or idol.

Context

2Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano* za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu* ya shayiri. 3Kisha nilimwambia, “Utaishi nami kwa siku nyingi, hupaswi kuwa kahaba au kuwa na uhusiano wa karibu na mtu yeyote, nami nitaishi na wewe.” 4Kwa maana Waisraeli wataishi siku nyingi bila kuwa na mfalme wala mkuu, bila kuwa na dhabihu wala mawe matakatifu, bila kisibau wala sanamu. 5Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta Bwana Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa Bwana na kwa baraka zake katika siku za mwisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.