Hosea 1:5
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika siku ile nitavunja upinde wa Israeli katika Bonde la Yezreeli.”
Hosea 1:5 in English
Hosea 1:5 · Berean Standard Bible
And on that day I will break the bow of Israel in the Valley of Jezreel.”
Context
3Kwa hiyo alimwoa Gomeri binti Diblaimu, naye akachukua mimba na kumzalia Hosea mwana. 4Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Yezreeli,* kwa kuwa kitambo kidogo nitaiadhibu nyumba ya Yehu kwa ajili ya mauaji ya kule Yezreeli, nami nitaukomesha ufalme wa Israeli. 5Katika siku ile nitavunja upinde wa Israeli katika Bonde la Yezreeli.” 6Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama,* kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe. 7Hata hivyo nitaonyesha upendo kwa nyumba ya Yuda, nami nitawaokoa si kwa upinde, upanga au vita, wala kwa farasi na wapanda farasi, bali kwa njia ya Bwana Mungu wao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.