Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama,* kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe.

Hosea 1:6 in English

Hosea 1:6 · Berean Standard Bible

Gomer again conceived and gave birth to a daughter, and the LORD said to Hosea, “Name her Lo-ruhamah,* for I will no longer have compassion on the house of Israel, that I should ever forgive them.

Context

4Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Yezreeli,* kwa kuwa kitambo kidogo nitaiadhibu nyumba ya Yehu kwa ajili ya mauaji ya kule Yezreeli, nami nitaukomesha ufalme wa Israeli. 5Katika siku ile nitavunja upinde wa Israeli katika Bonde la Yezreeli.” 6Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama,* kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe. 7Hata hivyo nitaonyesha upendo kwa nyumba ya Yuda, nami nitawaokoa si kwa upinde, upanga au vita, wala kwa farasi na wapanda farasi, bali kwa njia ya Bwana Mungu wao.” 8Baada ya Gomeri kumwachisha Lo-Ruhama kunyonya, Gomeri alipata mwana mwingine.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.