Waebrania 9:20
Hebrews 9:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alisema, “Hii ndiyo damu ya agano, ambalo Mungu amewaamuru kulitii.”
Hebrews 9:20 in English
Hebrews 9:20 · Berean Standard Bible
saying, “This is the blood of the covenant, which God has commanded you to keep.”*
Context
18Hii ndiyo sababu hata lile agano la kwanza halikuweza kutekelezwa pasipo damu. 19Mose alipotangaza kila amri kwa watu wote, alichukua damu ya ndama na ya mbuzi, pamoja na maji, sufu nyekundu na matawi ya mti wa hisopo, akanyunyizia kile kitabu na watu wote. 20Alisema, “Hii ndiyo damu ya agano, ambalo Mungu amewaamuru kulitii.” 21Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada. 22Kwa kweli sheria hudai kwamba, karibu kila kitu kitakaswe kwa damu, wala pasipo kumwaga damu, hakuna msamaha wa dhambi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.