Native Bible

Hebrews 7:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.

Hebrews 7:24 in English

Hebrews 7:24 · Berean Standard Bible

But because Jesus lives forever, He has a permanent priesthood.

Context

22Kwa ajili ya kiapo hiki, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi. 23Basi pamekuwepo na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani. 24Lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu. 25Kwa hiyo anaweza kuwaokoa kabisa wale wanaomjia Mungu kupitia kwake, kwa sababu yeye adumu daima kuomba kwa ajili yao. 26Kwa kuwa ilitupasa tuwe na Kuhani Mkuu wa namna hii, yaani, aliye mtakatifu, asiye na lawama, asiye na dosari, aliyetengwa na wenye dhambi na kuinuliwa juu ya mbingu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.