Waebrania 4:9
Hebrews 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu;
Hebrews 4:9 in English
Hebrews 4:9 · Berean Standard Bible
There remains, then, a Sabbath rest for the people of God.
Context
7Kwa hiyo Mungu ameweka siku nyingine, akaiita Leo, akisema kwa kinywa cha Daudi baadaye sana, kwa maneno yaliyotangulia kunenwa:
“Leo, kama mkiisikia sauti yake,
msiifanye mioyo yenu migumu.” 8Kwa maana kama Yoshua alikuwa amewapa raha, Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine. 9Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu; 10kwa kuwa kila mmoja aingiaye katika raha ya Mungu pia hupumzika kutoka kazi zake mwenyewe, kama vile Mungu alivyopumzika kutoka kazi zake. 11Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha hiyo, ili kwamba asiwepo yeyote atakayeanguka kwa kufuata mfano wao wa kutokutii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.