Native Bible

Hebrews 13:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema iwe nanyi nyote. Amen.

Hebrews 13:25 in English

Hebrews 13:25 · Berean Standard Bible

Grace be with all of you.*

Context

23Nataka ninyi mjue kwamba ndugu yetu Timotheo amefunguliwa kutoka gerezani. Akifika mapema, nitakuja pamoja naye kuwaona. 24Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu. 25Neema iwe nanyi nyote. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.