Native Bible

Hebrews 11:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.

Hebrews 11:31 in English

Hebrews 11:31 · Berean Standard Bible

By faith the prostitute Rahab, because she welcomed the spies in peace, did not perish with those who were disobedient.

Context

29Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu* kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji. 30Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba. 31Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi. 32Basi niseme nini zaidi? Sina wakati wa kusema habari za Gideoni, Baraka, Samsoni, Yeftha, Daudi, Samweli na manabii, 33ambao kwa imani walishinda milki za wafalme, walitekeleza haki, na wakapokea ahadi za Mungu; walifunga vinywa vya simba,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.