Waebrania 11:30
Hebrews 11:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.
Hebrews 11:30 in English
Hebrews 11:30 · Berean Standard Bible
By faith the walls of Jericho fell, after the people had marched around them for seven days.
Context
28Kwa imani akaadhimisha Pasaka na kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wazaliwa wa Israeli. 29Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu* kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji. 30Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba. 31Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi. 32Basi niseme nini zaidi? Sina wakati wa kusema habari za Gideoni, Baraka, Samsoni, Yeftha, Daudi, Samweli na manabii,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.