Waebrania 11:29
Hebrews 11:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu* kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji.
Hebrews 11:29 in English
Hebrews 11:29 · Berean Standard Bible
By faith the people passed through the Red Sea as on dry land; but when the Egyptians tried to follow,* they were drowned.
Context
27Kwa imani Mose aliondoka Misri bila kuogopa ghadhabu ya mfalme. Alivumilia kwa sababu alimwona yeye asiyeonekana kwa macho. 28Kwa imani akaadhimisha Pasaka na kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wazaliwa wa Israeli. 29Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu* kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji. 30Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba. 31Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.