Waebrania 10:24
Hebrews 10:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema.
Hebrews 10:24 in English
Hebrews 10:24 · Berean Standard Bible
And let us consider how to spur one another on to love and good deeds.
Context
22sisi na tumkaribie Mungu kwa moyo mnyofu kwa imani timilifu, mioyo yetu ikiwa imenyunyizwa damu ya Kristo na kuwa safi kutokana na dhamiri mbaya nayo miili yetu ikiwa imeoshwa kwa maji safi. 23Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu. 24Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema. 25Wala tusiache kukutana pamoja, kama wengine walivyo na desturi, bali tuhimizane sisi kwa sisi kadiri tuonavyo Siku ile inakaribia. 26Kama tukiendelea kutenda dhambi kwa makusudi baada ya kupokea ufahamu wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.