Native Bible

Hebrews 10:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama tukiendelea kutenda dhambi kwa makusudi baada ya kupokea ufahamu wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi.

Hebrews 10:26 in English

Hebrews 10:26 · Berean Standard Bible

If we deliberately go on sinning after we have received the knowledge of the truth, no further sacrifice for sins remains,

Context

24Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema. 25Wala tusiache kukutana pamoja, kama wengine walivyo na desturi, bali tuhimizane sisi kwa sisi kadiri tuonavyo Siku ile inakaribia. 26Kama tukiendelea kutenda dhambi kwa makusudi baada ya kupokea ufahamu wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi. 27Lakini kinachobaki ni kungoja kwa hofu hukumu ya moto uwakao, utakaowaangamiza adui za Mungu. 28Yeyote aliyeikataa sheria ya Mose alikufa pasipo huruma kwa ushahidi wa watu wawili au watatu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.