Native Bible

Habakkuk 2:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Bwana yuko katika Hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze mbele yake.”

Habakkuk 2:20 in English

Habakkuk 2:20 · Berean Standard Bible

But the LORD is in His holy temple; let all the earth be silent before Him.

Context

18“Sanamu ina thamani gani, kwani mwanadamu ndiye alichonga? Ama kinyago kinachofundisha uongo? Kwa kuwa yeye aliyekitengeneza hutegemea kazi ya mikono yake mwenyewe; hutengeneza sanamu zisizoweza kuzungumza. 19Ole wake yeye auambiaye mti, ‘Uwe hai!’ Ama asemaye na jiwe lisilo na uhai, ‘Amka!’ Je, linaweza kuongoza? Limefunikwa kwa dhahabu na fedha; hakuna pumzi ndani yake. 20Lakini Bwana yuko katika Hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze mbele yake.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.