Mwanzo 9:8
Genesis 9:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Mungu akamwambia Noa na wanawe pamoja naye:
Genesis 9:8 in English
Genesis 9:8 · Berean Standard Bible
Then God said to Noah and his sons with him,
Context
6“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu,
damu yake itamwagwa na mwanadamu,
kwa kuwa katika mfano wa Mungu,
Mungu alimuumba mwanadamu. 7Kuhusu ninyi, zaeni mwongezeke kwa wingi, mzidi katika dunia na kuijaza.” 8Ndipo Mungu akamwambia Noa na wanawe pamoja naye: 9“Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu, 10pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wote wa porini, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi, kila kiumbe hai duniani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.