Native Bible

Genesis 9:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuhusu ninyi, zaeni mwongezeke kwa wingi, mzidi katika dunia na kuijaza.”

Genesis 9:7 in English

Genesis 9:7 · Berean Standard Bible

But as for you, be fruitful and multiply; spread out across the earth and multiply upon it.”

Context

5Hakika damu ya uhai wenu nitaidai. Nitaidai kutoka kwa kila mnyama. Kutoka kwa kila mwanadamu pia nitaidai kwa ajili ya uhai wa mtu mwenzake. 6“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu, kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu. 7Kuhusu ninyi, zaeni mwongezeke kwa wingi, mzidi katika dunia na kuijaza.” 8Ndipo Mungu akamwambia Noa na wanawe pamoja naye: 9“Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.