Mwanzo 8:18
Genesis 8:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Noa akatoka nje pamoja na mkewe, wanawe na wake zao.
Genesis 8:18 in English
Genesis 8:18 · Berean Standard Bible
So Noah came out, along with his sons and his wife and his sons’ wives.
Context
16“Toka ndani ya safina, wewe na mkeo na wanao na wake zao. 17Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe: Ndege, wanyama na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia.” 18Kwa hiyo Noa akatoka nje pamoja na mkewe, wanawe na wake zao. 19Wanyama wote na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi na ndege wote, kila kitu kiendacho juu ya nchi, aina moja baada ya nyingine vikatoka katika safina, kila aina ya kiumbe, kimoja baada ya kingine. 20Kisha Noa akamjengea Bwana madhabahu, akachukua baadhi ya wale wanyama na ndege wote walio safi, akatoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.