Native Bible

Genesis 8:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Mungu akamwambia Noa,

Genesis 8:15 in English

Context

13Katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza ya mwaka 601, wa kuishi kwake Noa, maji yalikuwa yamekauka duniani. Kisha Noa akafungua mlango wa safina akaona ya kuwa uso wa ardhi ulikuwa umekauka. 14Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili dunia ilikuwa imekauka kabisa. 15Ndipo Mungu akamwambia Noa, 16“Toka ndani ya safina, wewe na mkeo na wanao na wake zao. 17Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe: Ndege, wanyama na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.