Native Bible

Genesis 8:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili dunia ilikuwa imekauka kabisa.

Genesis 8:14 in English

Genesis 8:14 · Berean Standard Bible

By the twenty-seventh day of the second month, the earth was fully dry.

Context

12Akangojea siku saba zaidi na akamtuma tena hua, lakini wakati huu hua hakurudi tena kwa Noa. 13Katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza ya mwaka 601, wa kuishi kwake Noa, maji yalikuwa yamekauka duniani. Kisha Noa akafungua mlango wa safina akaona ya kuwa uso wa ardhi ulikuwa umekauka. 14Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili dunia ilikuwa imekauka kabisa. 15Ndipo Mungu akamwambia Noa, 16“Toka ndani ya safina, wewe na mkeo na wanao na wake zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.