Native Bible

Genesis 44:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ukawaambia watumishi wako, ‘Ndugu yenu mdogo asiposhuka pamoja nanyi, hamtauona uso wangu tena.’

Genesis 44:23 in English

Genesis 44:23 · Berean Standard Bible

But you said to your servants, ‘Unless your younger brother comes down with you, you will not see my face again.’

Context

21“Ndipo ulipowaambia watumishi wako, ‘Mleteni kwangu ili niweze kumwona kwa macho yangu mwenyewe.’ 22Nasi tukamwambia bwana wangu, ‘Kijana hawezi kumwacha baba yake; akimwacha, baba yake atakufa.’ 23Lakini ukawaambia watumishi wako, ‘Ndugu yenu mdogo asiposhuka pamoja nanyi, hamtauona uso wangu tena.’ 24Tuliporudi nyumbani kwa mtumwa wako baba yangu, tulimwambia lile bwana wangu alilokuwa amesema. 25“Ndipo baba yetu aliposema, ‘Rudini Misri mkanunue chakula kingine.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.