Mwanzo 44:25
Genesis 44:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ndipo baba yetu aliposema, ‘Rudini Misri mkanunue chakula kingine.’
Genesis 44:25 in English
Genesis 44:25 · Berean Standard Bible
Then our father said, ‘Go back and buy us some food.’
Context
23Lakini ukawaambia watumishi wako, ‘Ndugu yenu mdogo asiposhuka pamoja nanyi, hamtauona uso wangu tena.’ 24Tuliporudi nyumbani kwa mtumwa wako baba yangu, tulimwambia lile bwana wangu alilokuwa amesema. 25“Ndipo baba yetu aliposema, ‘Rudini Misri mkanunue chakula kingine.’ 26Lakini tukamwambia, ‘Hatuwezi kushuka Misri mpaka ndugu yetu mdogo awe pamoja nasi ndipo tutakapokwenda. Hatutaweza kuuona uso wa yule mtu mpaka ndugu yetu mdogo awe pamoja nasi.’ 27“Mtumwa wako baba yangu alituambia, ‘Mnajua mke wangu alinizalia wana wawili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.