Native Bible

Genesis 43:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huu njaa ilikuwa bado ni kali mno katika nchi.

Genesis 43:1 in English

Genesis 43:1 · Berean Standard Bible

Now the famine was still severe in the land.

Context

1Wakati huu njaa ilikuwa bado ni kali mno katika nchi. 2Hivyo wakati walikuwa wamemaliza kula nafaka yote waliyoileta kutoka Misri, Yakobo baba yao akawaambia, “Rudini Misri mkatununulie chakula kingine zaidi.” 3Lakini Yuda akamwambia, “Mtu yule alituonya kwa msisitizo, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje na ndugu yenu.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.