Mwanzo 39:17
Genesis 39:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo akamweleza kisa hiki, akisema: “Yule mtumwa wa Kiebrania uliyetuletea alinijia ili kunidhihaki.
Genesis 39:17 in English
Genesis 39:17 · Berean Standard Bible
Then she told him the same story: “The Hebrew slave you brought us came to me to make sport of me,
Context
15Aliposikia kelele za kuomba msaada, akaacha vazi lake kando yangu akakimbilia nje.” 16Yule mwanamke akaliweka lile vazi karibu naye mpaka Potifa aliporudi nyumbani. 17Ndipo akamweleza kisa hiki, akisema: “Yule mtumwa wa Kiebrania uliyetuletea alinijia ili kunidhihaki. 18Lakini mara nilipopiga kelele kuomba msaada, akaliacha vazi lake kando yangu akakimbia nje ya nyumba.” 19Potifa aliposikia kisa hiki mkewe alichomweleza, akisema, “Hivi ndivyo mtumwa wako alivyonitenda.” Hasira ya Potifa ikawaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.