Mwanzo 39:15
Genesis 39:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliposikia kelele za kuomba msaada, akaacha vazi lake kando yangu akakimbilia nje.”
Genesis 39:15 in English
Genesis 39:15 · Berean Standard Bible
When he heard me scream for help, he left his cloak beside me and ran out of the house.”
Context
13Yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu amemwachia vazi lake mkononi na kukimbilia nje ya nyumba, 14akawaita watumishi wake wa nyumbani, akawaambia, “Tazameni! Huyu Mwebrania ameletwa hapa kutudhihaki! Aliingia hapa ndani ili akutane nami kimwili, lakini nikapiga kelele. 15Aliposikia kelele za kuomba msaada, akaacha vazi lake kando yangu akakimbilia nje.” 16Yule mwanamke akaliweka lile vazi karibu naye mpaka Potifa aliporudi nyumbani. 17Ndipo akamweleza kisa hiki, akisema: “Yule mtumwa wa Kiebrania uliyetuletea alinijia ili kunidhihaki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.