Native Bible

Genesis 38:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati ule, Yuda akawaacha ndugu zake, akaenda kuishi na Hira Mwadulami.

Genesis 38:1 in English

Genesis 38:1 · Berean Standard Bible

About that time, Judah left his brothers and settled near a man named Hirah, an Adullamite.

Context

1Wakati ule, Yuda akawaacha ndugu zake, akaenda kuishi na Hira Mwadulami. 2Huko Yuda akakutana na binti wa Kikanaani aitwaye Shua, akamwoa na akakutana naye kimwili, 3akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.