Mwanzo 37:32
Genesis 37:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakalichukua lile joho lililorembwa vizuri na kulipeleka kwa baba yao na kusema, “Tumeliokota hili joho. Uchunguze uone kama ni la mwanao.”
Genesis 37:32 in English
Genesis 37:32 · Berean Standard Bible
They sent the robe of many colors to their father and said, “We found this. Examine it to see whether it is your son’s robe or not.”
Context
30Akawarudia ndugu zake na kusema, “Kijana hayuko mle! Nielekee wapi sasa?” 31Kisha wakalichukua lile joho la Yosefu, wakachinja mbuzi na kulichovya katika damu. 32Wakalichukua lile joho lililorembwa vizuri na kulipeleka kwa baba yao na kusema, “Tumeliokota hili joho. Uchunguze uone kama ni la mwanao.” 33Baba yao akalitambua akasema, “Hili ni joho la mwanangu! Mnyama mkali amemrarua. Hakika Yosefu ameraruliwa vipande vipande.” 34Kisha Yakobo akararua nguo zake, akavaa nguo ya gunia na kumwombolezea mwanawe kwa siku nyingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.