Mwanzo 29:6
Genesis 29:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Yakobo akawauliza, “Je, yeye ni mzima?” Wakasema, “Ndiyo, ni mzima, na hapa yuaja Raheli binti yake akiwa na kondoo.”
Genesis 29:6 in English
Genesis 29:6 · Berean Standard Bible
“Is he well?” Jacob inquired. “Yes,” they answered, “and here comes his daughter Rachel with his sheep.”
Context
4Yakobo aliwauliza wachungaji, “Ndugu zangu, ninyi mmetoka wapi?”
Wakamjibu, “Tumetoka Harani.” 5Aliwaambia, “Je, mnamjua Labani, mjukuu wa Nahori?”
Wakamjibu, “Ndiyo, tunamfahamu.” 6Kisha Yakobo akawauliza, “Je, yeye ni mzima?”
Wakasema, “Ndiyo, ni mzima, na hapa yuaja Raheli binti yake akiwa na kondoo.” 7Akasema, “Tazama, jua bado liko juu, si wakati wa kukusanya mifugo. Nywesheni kondoo na mwarudishe malishoni.” 8Walijibu, “Haiwezekani, mpaka kondoo wote wakusanyike na jiwe liwe limevingirishwa kutoka mdomo wa kisima. Ndipo tutanywesha kondoo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.