Native Bible

Genesis 21:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Abrahamu akakaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda mrefu.

Genesis 21:34 in English

Genesis 21:34 · Berean Standard Bible

And Abraham resided in the land of the Philistines for a long time.

Context

32Baada ya mapatano kufanyika huko Beer-Sheba, Abimeleki na Fikoli mkuu wa majeshi yake wakarudi katika nchi ya Wafilisti. 33Abrahamu akapanda mti wa mkwaju huko Beer-Sheba, na hapo akaliitia jina la Bwana, Mungu wa milele. 34Naye Abrahamu akakaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda mrefu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.