Native Bible

Genesis 21:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abrahamu akapanda mti wa mkwaju huko Beer-Sheba, na hapo akaliitia jina la Bwana, Mungu wa milele.

Genesis 21:33 in English

Genesis 21:33 · Berean Standard Bible

And Abraham planted a tamarisk tree in Beersheba, and there he called upon the name of the LORD, the Eternal God.*

Context

31Hivyo mahali pale pakaitwa Beer-Sheba, kwa sababu watu wawili waliapiana hapo. 32Baada ya mapatano kufanyika huko Beer-Sheba, Abimeleki na Fikoli mkuu wa majeshi yake wakarudi katika nchi ya Wafilisti. 33Abrahamu akapanda mti wa mkwaju huko Beer-Sheba, na hapo akaliitia jina la Bwana, Mungu wa milele. 34Naye Abrahamu akakaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda mrefu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.