Native Bible

Genesis 21:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa sababu lilimhusu mwanawe.

Genesis 21:11 in English

Genesis 21:11 · Berean Standard Bible

Now this matter distressed Abraham greatly because it concerned his son Ishmael.

Context

9Lakini Sara aliona kuwa mwana ambaye Hagari, Mmisri, aliyemzalia Abrahamu alikuwa anadhihaki, 10Sara akamwambia Abrahamu, “Mwondoe mwanamke huyo mtumwa pamoja na mwanawe, kwa kuwa mwana wa mwanamke mtumwa kamwe hatarithi pamoja na mwanangu Isaki.” 11Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa sababu lilimhusu mwanawe. 12Lakini Mungu akamwambia, “Usihuzunike hivyo kwa sababu ya kijana na mtumishi wako wa kike. Sikiliza lolote Sara analokuambia, kwa sababu uzao wako utahesabiwa kupitia kwake Isaki. 13Nitamfanya huyu mwana wa mtumishi wako wa kike kuwa taifa pia, kwa sababu naye ni uzao wako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.