Wagalatia 5:18
Galatians 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria.
Galatians 5:18 in English
Galatians 5:18 · Berean Standard Bible
But if you are led by the Spirit, you are not under the law.
Context
16Kwa hiyo nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili. 17Kwa maana mwili hutamani yale yaliyo kinyume na Roho, naye Roho hutamani yale yaliyo kinyume na mwili. Roho na mwili hupingana na kwa sababu hiyo hamwezi kufanya mnayotaka. 18Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria. 19Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi, 20kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.