Native Bible

Galatians 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,

Galatians 5:20 in English

Galatians 5:20 · Berean Standard Bible

idolatry and sorcery; hatred, discord, jealousy, and rage; rivalries, divisions, factions,

Context

18Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria. 19Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi, 20kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha kuwaonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama hayo, hawataurithi Ufalme wa Mungu. 22Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.