Native Bible

Galatians 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana mwili hutamani yale yaliyo kinyume na Roho, naye Roho hutamani yale yaliyo kinyume na mwili. Roho na mwili hupingana na kwa sababu hiyo hamwezi kufanya mnayotaka.

Galatians 5:17 in English

Galatians 5:17 · Berean Standard Bible

For the flesh craves what is contrary to the Spirit, and the Spirit what is contrary to the flesh. They are opposed to each other, so that you do not do what you want.

Context

15Kama mkiumana na kutafunana, angalieni, msije mkaangamizana. 16Kwa hiyo nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili. 17Kwa maana mwili hutamani yale yaliyo kinyume na Roho, naye Roho hutamani yale yaliyo kinyume na mwili. Roho na mwili hupingana na kwa sababu hiyo hamwezi kufanya mnayotaka. 18Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria. 19Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.