Native Bible

Galatians 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu wa sasa ulio mbaya, sawasawa na mapenzi yake yeye aliye Mungu na Baba yetu.

Galatians 1:4 in English

Galatians 1:4 · Berean Standard Bible

who gave Himself for our sins to rescue us from the present evil age, according to the will of our God and Father,

Context

2na ndugu wote walio pamoja nami: Kwa makanisa ya Galatia: 3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo, 4aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu wa sasa ulio mbaya, sawasawa na mapenzi yake yeye aliye Mungu na Baba yetu. 5Utukufu una yeye milele na milele. Amen. 6Nashangaa kwamba mnamwacha upesi hivyo yeye aliyewaita kwa neema ya Kristo na kuifuata Injili nyingine,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.