Wagalatia 1:3
Galatians 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo,
Galatians 1:3 in English
Galatians 1:3 · Berean Standard Bible
Grace and peace to you from God our Father and the Lord Jesus Christ,*
Context
1Paulo mtume: si mtume wa wanadamu wala aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu; 2na ndugu wote walio pamoja nami:
Kwa makanisa ya Galatia: 3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo, 4aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu wa sasa ulio mbaya, sawasawa na mapenzi yake yeye aliye Mungu na Baba yetu. 5Utukufu una yeye milele na milele. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.