Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wazao wa Paroshi 2,172

Ezra 2:3 in English

Ezra 2:3 · Berean Standard Bible

the descendants of Parosh, 2,172;

Context

1Basi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 2wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana): Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa: 3wazao wa Paroshi 2,172 4wazao wa Shefatia 372 5wazao wa Ara 775

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.