Native Bible

Ezekiel 40:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baraza ilikuwa na dhiraa ishirini kwenda juu na dhiraa kumi na mbili* kuanzia mbele hadi nyuma. Kulikuwa na ngazi kumi za kupandia huko, pia kulikuwa na nguzo kwa kila upande wa miimo.

Ezekiel 40:49 in English

Ezekiel 40:49 · Berean Standard Bible

The portico was twenty cubits wide * and twelve cubits deep,* and ten steps led up to it.* There were columns by the side pillars, one on each side.

Context

47Ndipo alipopima ukumbi: nao ulikuwa mraba wa dhiraa mia moja urefu na upana. Madhabahu yalikuwa mbele ya Hekalu. 48Akanileta mpaka kwenye baraza ya Hekalu naye akaipima miimo ya hiyo baraza, nayo ilikuwa na upana wa dhiraa tatu* kila upande. Upana wa ingilio ulikuwa dhiraa kumi na nne* na kuta zake zilikuwa na upana wa dhiraa tatu kila upande. 49Baraza ilikuwa na dhiraa ishirini kwenda juu na dhiraa kumi na mbili* kuanzia mbele hadi nyuma. Kulikuwa na ngazi kumi za kupandia huko, pia kulikuwa na nguzo kwa kila upande wa miimo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.