Ezekieli 40:48
Ezekiel 40:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akanileta mpaka kwenye baraza ya Hekalu naye akaipima miimo ya hiyo baraza, nayo ilikuwa na upana wa dhiraa tatu* kila upande. Upana wa ingilio ulikuwa dhiraa kumi na nne* na kuta zake zilikuwa na upana wa dhiraa tatu kila upande.
Ezekiel 40:48 in English
Ezekiel 40:48 · Berean Standard Bible
Then he brought me to the portico of the temple and measured the side pillars of the portico to be five cubits on each side. The width of the gateway was fourteen cubits and its sidewalls were three cubits on either side.*
Context
46nacho chumba kinachoelekea upande wa kaskazini ni kwa ajili ya makuhani wenye usimamizi wa madhabahuni. Hawa ni wana wa Sadoki, ambao ndio Walawi pekee wanaoweza kumkaribia Bwana ili kuhudumu mbele zake.” 47Ndipo alipopima ukumbi: nao ulikuwa mraba wa dhiraa mia moja urefu na upana. Madhabahu yalikuwa mbele ya Hekalu. 48Akanileta mpaka kwenye baraza ya Hekalu naye akaipima miimo ya hiyo baraza, nayo ilikuwa na upana wa dhiraa tatu* kila upande. Upana wa ingilio ulikuwa dhiraa kumi na nne* na kuta zake zilikuwa na upana wa dhiraa tatu kila upande. 49Baraza ilikuwa na dhiraa ishirini kwenda juu na dhiraa kumi na mbili* kuanzia mbele hadi nyuma. Kulikuwa na ngazi kumi za kupandia huko, pia kulikuwa na nguzo kwa kila upande wa miimo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.