Native Bible

Ezekiel 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pima shekeli ishirini* za chakula utakachokula kwa kila siku, nawe utakula kwa wakati uliopangwa.

Ezekiel 4:10 in English

Ezekiel 4:10 · Berean Standard Bible

You are to weigh out twenty shekels of food * to eat each day, and you are to eat it at set times.

Context

8Nitakufunga kwa kamba ili usiweze kugeuka kutoka upande mmoja hadi upande mwingine, mpaka hapo utakapokuwa umetimiza siku za kuzingirwa kwako. 9“Chukua ngano na shayiri, maharagwe na dengu, mtama na mawele, uviweke na kuvihifadhi vyote kwenye gudulia la kuhifadhia, na uvitumie kujitengenezea mkate. Utaula mkate huo kwa hizo siku 390 utakazokuwa umelala kwa upande mmoja. 10Pima shekeli ishirini* za chakula utakachokula kwa kila siku, nawe utakula kwa wakati uliopangwa. 11Pia pima maji moja ya sita ya hini,* nawe utakunywa kwa wakati uliopangwa. 12Nawe utakula chakula kama vile ambavyo ungekula mkate wa shayiri, uoke mkate mbele ya macho ya watu, ukitumia kinyesi cha mwanadamu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.