Ezekieli 34:9
Ezekiel 34:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa hiyo enyi wachungaji, sikieni neno la Bwana:
Ezekiel 34:9 in English
Ezekiel 34:9 · Berean Standard Bible
therefore, you shepherds, hear the word of the LORD!’
Context
7“ ‘Kwa hiyo, ninyi wachungaji, lisikieni neno la Bwana: 8Kwa hakika kama niishivyo, asema Bwana Mwenyezi, kwa sababu kondoo zangu wamekosa mchungaji na hivyo wametekwa nyara na kuwa chakula cha wanyama wote wa mwituni na kwa sababu wachungaji wangu, hawakuwatafuta kondoo zangu, bali wachungaji wamejitunza wenyewe, nao hawakuwalisha kondoo zangu, 9kwa hiyo enyi wachungaji, sikieni neno la Bwana: 10Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume na wachungaji nami nitawadai kondoo zangu mikononi mwao. Nitawafukuza kutoka kwenye kuchunga kundi langu, ili wachungaji wasiendelee kujitunza wenyewe. Nitaokoa kondoo zangu kutoka kwenye vinywa vyao, nao kondoo hawatakuwa tena chakula chao. 11“ ‘Kwa kuwa hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi mwenyewe nitawaulizia kondoo wangu na kuwatafuta.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.