Ezekieli 32:1
Ezekiel 32:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kumi na mbili, siku ya kwanza ya mwezi, neno la Bwana likanijia, kusema:
Ezekiel 32:1 in English
Ezekiel 32:1 · Berean Standard Bible
In the twelfth year, on the first day of the twelfth month, the word of the LORD came to me, saying,
Context
1Katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kumi na mbili, siku ya kwanza ya mwezi, neno la Bwana likanijia, kusema: 2“Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Farao mfalme wa Misri na umwambie:
“ ‘Wewe ni kama simba miongoni mwa mataifa,
wewe ni kama joka kubwa baharini,
unayevuruga maji kwa miguu yako
na kuchafua vijito. 3“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
“ ‘Nikiwa pamoja na wingi mkubwa wa watu
nitautupa wavu wangu juu yako,
nao watakukokota katika wavu wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.