Ezekieli 29:8
Ezekiel 29:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaleta upanga juu yako na kuua watu wako na wanyama wao.
Ezekiel 29:8 in English
Ezekiel 29:8 · Berean Standard Bible
Therefore this is what the Lord GOD says: I will bring a sword against you and cut off from you man and beast.
Context
6Ndipo wale wote waishio Misri watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.
“ ‘Umekuwa fimbo ya tete kwa nyumba ya Israeli. 7Walipokushika kwa mikono yao, ulivunjika na kuchana mabega yao; walipokuegemea, ulivunjika na migongo yao ikateguka. 8“ ‘Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaleta upanga juu yako na kuua watu wako na wanyama wao. 9Misri itakuwa ukiwa na isiyolimwa wala kukaliwa na watu. Ndipo watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.
“ ‘Kwa sababu ulisema, “Mto Naili ni wangu; mimi niliufanya,” 10kwa hiyo mimi ni kinyume nawe na kinyume na vijito vyako, nami nitaifanya nchi ya Misri kuwa magofu na ukiwa isiyolimwa wala kukaliwa na watu kuanzia Migdoli hadi Aswani, hata kufikia mpakani wa Ethiopia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.